Sunday, May 4, 2014

Kill Music Awards 2014 Ukumbini(Diamond aibu...

Picha:Kill Music Awards 2014 Ukumbini(Diamond aibu...: Tuzo za Muziki za Tanzania zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Lage (KTMA2014), zilifanyika jana Mei 3 katika ukumbi wa Mlimani City...

Wednesday, April 30, 2014

BAYERN WAVULIWA UBINGWA UEFA, WALIMWA 5-0 NA REAL ...

BAYERN WAVULIWA UBINGWA UEFA, WALIMWA 5-0 NA REAL ...: BAYERN Munich wamevuliwa ubingwa wa UEFA kwa kipigo cha mbwa mwizi baada ya kufungwa mabao 5-0 na Real Madrid katika mechi mbili za nusu f...

Tuesday, April 29, 2014

PICHA & VIDEO) YALIYOJIRI USIKU WA JANA BARCELONA...

(PICHA & VIDEO) YALIYOJIRI USIKU WA JANA BARCELONA...: SKWADI zima la Barcelona usiku wa jana limeuaga mwili wa aliyekuwa kocha wao, Tito Vilanova kabla ya mazishi yake. Wach...

Monday, April 28, 2014

MASHABIKI WA CHELSEA NA LIVERPOOL WATWANGANA ANFIE...

MASHABIKI WA CHELSEA NA LIVERPOOL WATWANGANA ANFIE...: VURUGU ilizotokea nje ya Uwanja wa Anfield kufuatia Liverpool kufungwa na Chelsea mabao 2-0 jana. Picha zinaonyesha kitim...

Sunday, April 27, 2014

Nafasi za masomo:wizara ya afya.

MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO KUPITIA NACTE 2014/15. KatibuMkuu Wizara yaAfya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa katika vyuo vinavyoendeshwana Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2014/2015. 1.Kozi zinazotangazwa ni:A.Kozi za ngazi ya Stashahada (Ordinary Diploma Programmes):1.Stashahada ya Afya ya Mazingira (Ordinary Diploma in Environmental Health Sciences)2.Stashahada ya Uzoeza viungo (OrdinaryDiploma in Physiotherapy )3.Stashahada ya Teknologia ya Viungo Bandia vya Kinywa na Meno (Ordinary Diploma in Dental Laboratory Technology)4.Stashahada ya Teknologia ya Maabara za Afya ya Binadamu (Ordinary Diplomain Health Laboratory Technology)5.Stashahada ya Optometria (Ordinary Diploma in Optometry)6.Stashahada ya Utabibu wa Magonjwa ya Binadamu (Ordinary Diploma in Clinical Medicine)7.Stashahada ya Utabibu wa Magonjwa ya Kinywa na Meno (Ordinary Diploma in Clinical Dentistry)8.Stashahada ya Uuguzi (Ordinary Diploma in Nursing)B.Kozi za ngazi ya Cheti (Technician Certificate Programme)1.Astashahada ya Teknologia ya Maabaraza Afya ya Binadamu (Technician Certificate in Health Laboratory Technology)2.Astashahada ya Utabibu wa Magonjwa ya Binadamu (Technician Certificate in Clinical Medicine)3.Astashahada ya Uuguzi (Technician Certificate in Nursing)4.Astashahada ya Teknologia ya Kutunza Kumbukumbu za Afya ya Binadamu (TechnicianCertificate in Health Record Technology)5.Astashahada ya Afya ya mazingira)Technician certificate in Environmental health Sciences)2. Muda wa Mafunzo:i.Miakamitatu (3) kwa kozi zaStashahada(Ordinary Diploma Programmes)ii.Miaka miwili (2) kwa kozi za Ngazi ya cheti(Technician Certificate Programmes)3. Sifa za Muombaji:Waombaji watarajali (Pre-service):i.Awe raia wa Tanzaniaii.Awe amemaliza kidato cha nne kati ya mwaka 2009 na 2013, sifa hii inatumika kwawanaotaka kujiunga katika vyuo vya serikakli tuiii.Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu wa jumla usiopungua point 28 kwamatokeo ya mwaka 2012 kurudi nyuma na point 35 kwa matokeo ya mwaka 2013.iv.Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma) .v.Ufaulu wa kidatocha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘D’, kwa masomo yabiologia, kemia , na Fizikia kwa kozi za Astashahada (Technician Certificates)vi.Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.4.Utaratibu wa kutuma maombi:1.Maombiyatatumwa na kupokelewa kupitia Mfumo wa pamojawa kielektronic wa kupokea nakuchakata maombi [Central Admission System (CAS)] Unaosimamiwa na Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE). Aidha mfumo huu unapatikana kupitia kwenye tovuti ya NACTE (www.nacte.go.tz) na tovuti ya wizara ya Afya (www.moh.go.tz) au tovutimaalum ya maombi hayo (www.cas.ac.tz)2.Waombaji wote watalipia maombi kupitia mtandao wa M-PESA kwa sh. 30, 000/=. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa(Non refundable). Utaratibu wa namna ya kulipia na kuomba umeainishwa hapa chini:-Fuata hatua kama zilivyo hapa chini:i.Kutoka katika simu yako ya mtandao wa Vodacom piga*150*00#ii.Chagua 4. Payments (Malipo)iii.Chagua 4. Enter business number (Ingiza namba ya Biashara)iv.Ingiza namba ya Biashara (Enter the business number) -607070v.Weka nambari ya Kumbukumbu (Enter reference No.) -1234vi.Weka Kiasi Cha Malipo (Enter Amount) –30,000vii.Ingiza namba ya siri (Enter PIN)viii.Ingiza1 kuthibitisha (Press 1 to Confirm):Baada ya Kuthibitisha malipo hayo, utapata ujumbe kutoka Vodacom (e.g. “Q32LS981 Confirmed. Tshs. 30,000 sent to business NACTE for account 1234 on 14/4/14 at 2:33 PM New M-Pesa balance is....”).*Tumia namba hiyo ya uthibitisho wa malipo kujaza katika usajili wa mfumo wa CAS [payment details text box(Q32LS981)].·Bonyeza “submit”, Ujumbe mfupi utatokea kuthibitisha usajili wako katika mfumo wa CAS.·Bonyeza “Proceed with Admission” kama taarifazako ni sahihi au “Edit registration details” kama taarifa zako zina kasoro na unahitaji kusahihisha.5.Namna ya kuomba kujiunga na kozi za Afya kupitia mfumo wa pamoja wa kupokeana kuchakata maombi (CAS).Hatua za kufuata wakati wa kutuma maombi kwa njia ya elektronic (Online Application Steps)·Fungua tovuti maalum ya NACTE (http://www.cas.ac.tz)·Bonyeza “Health Programs ( CertificateauDiploma)”ili kuufungua Mfumo.·Mfumo wa CAS ukishafunguka kabla hujaendelea utaona michepuko (links) miwili yaani“Home”na“Register”; Kisha·Bonyeza“Register”na baada ya kubonyeza na mfumo kukuruhusu endelea kwa kusoma malekezo,kisha jibu maswali yanayohusu sifa za muombaji (eligibility questions), baadaya kujibu maswali ya eneo hili Kisha bonyeza “Next”. Kisha endelea kufuatamaelekezo utakayokuwa unapewa na mfumo wakati ukiwasilisha maombi yako.6.Utaratibu wa kuomba udhamini wa masomo kwa watakaojiunga katika vyuo vya Afya. Umma unafahamishwa kwambakwa mwaka huu wa masomo Serikali, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa udhamini wa Mfuko wa Fedha wa Dunia (Global Fund) itadhamini wanafunzi1401. Taasisi ya Benjamin William Mkapa (Benjamin Mkapa Foundation) itadhamini wanafunzi 581 miongoni mwa nafasi zilizotengewa udhamini, na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii itadhamini wanafunzi 820. Watakaodahiliwakusomea Mafunzo ya Ngazi ya Astashahada katika fani zifuatazo:·Astashahada ya Uuguzi (Technician Certificate in Nursing) - 931;·Astashahada ya Utabibu (Technician Certificate in Clinical Medicine) - 330;·Astashahada ya Maabara za Afya (Technician Certificate in Medical Laboratory Sciences) - 120; na·Astashahada Sayansi ya Ufamasia (Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences) - 20.Nafasi hizi zinaombwa kupitia mfumo wa pamoja wa kupokea na kuchakata maombi (CAS). Muombaji atatakiwa kupitia orodha ya wilaya zenye nafasi za ajira kwa fani anayotaka kujiunga nayo naiwapo utafanikiwa kupata udhamini wa masomo kwa fani uliyoomba utatakiwa kujaza fomu ya mkataba waahadi (Bonding) ya kufanya kazi katika eneo ulilochagua baada ya kuwa umehitimu mafunzo.7. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:a) Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwapamoja na NACTE watakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwakuchaguliwa kujiunganakozi mbalimbali kupitia anuani zao za barua pepe, magazeti, ‘website’ ya Wizaraya Afya na Ustawi wa Jamii na NACTE.b) Taarifa hizo zitatumwa pia kwenye kanda za mafunzo na vyuo vyote vya mafunzo haya.8.Muda wa mwisho wa kupokea maombi ni tarehe30 June, 2014.9.Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 27 Oktoba, 2014.Kujiunga na nafasi hizo bofya hapa.Imetolewa na:KatibuMkuu,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,S.L.P.9083,Dar es Sal

Thursday, April 24, 2014

Hii Ndio Nchi Atakayoichezea Adnan Januzaj Kwenye ...

Hii Ndio Nchi Atakayoichezea Adnan Januzaj Kwenye ...: Winga wa Manchester United Adnan Januzaj amechagua kuiwakilisha timu ya taifa ya Ubelgiji katika mashindano ya kimataifa. Kocha ...

Tuesday, April 22, 2014

BREAKING NEWS: MAN UNITED YATHIBITISHA KUMTIMUA KA...

BREAKING NEWS: MAN UNITED YATHIBITISHA KUMTIMUA KA...: Hatimaye kocha Manchester United David Moyes amefukuzwa kazi, miezi 10 baada ya kumrithi Sir A...

TAARIFA KUHUSU JURGEN KLOPP KUCHUKUA MIKOBA YA DAV...

TAARIFA KUHUSU JURGEN KLOPP KUCHUKUA MIKOBA YA DAV...: Jürgen Klopp amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuteuliwa nafasi ya ukocha...